Ndivyo mwanadamu hulala chini, asiinuke; Hata wakati wa mbingu kutokuwako tena, hawataamka, Wala kuamshwa usingizini.
Yobu 14:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kama vile maji kupwa katika bahari, Na mto kupunguka na kukatika; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Kama vile maji yakaukavyo ziwani, na mto unavyokoma kutiririka, Biblia Habari Njema - BHND “Kama vile maji yakaukavyo ziwani, na mto unavyokoma kutiririka, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Kama vile maji yakaukavyo ziwani, na mto unavyokoma kutiririka, Neno: Bibilia Takatifu Kama vile maji yanavyotoweka katika bahari, au mkondo wa mto ukaushwavyo na kuwa mkavu, Neno: Maandiko Matakatifu Kama vile maji yatowekavyo katika bahari, au mkondo wa mto ukaushwavyo na kuwa mkavu, BIBLIA KISWAHILI Kama vile maji kupwa katika bahari, Na mto kupunguka na kukatika; |
Ndivyo mwanadamu hulala chini, asiinuke; Hata wakati wa mbingu kutokuwako tena, hawataamka, Wala kuamshwa usingizini.
Mbona maumivu yangu ni ya daima, na jeraha langu halina dawa, linakataa kuponywa? Je! Yamkini wewe utakuwa kwangu kama kijito kidanganyacho, na kama maji yasiyodumu?