Yobu 13:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Je! Itafaa yeye kuwatafuta ninyi? Au, kama kumdanganya mtu, je! Mtamdanganya yeye? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Je, akiwakagua nyinyi mtapona? Au mnadhani mnaweza kumdanganya Mungu kama watu? Biblia Habari Njema - BHND Je, akiwakagua nyinyi mtapona? Au mnadhani mnaweza kumdanganya Mungu kama watu? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Je, akiwakagua nyinyi mtapona? Au mnadhani mnaweza kumdanganya Mungu kama watu? Neno: Bibilia Takatifu Je, ingekuwa vyema Mungu akiwahoji ninyi? Je, mngeweza kumdanganya kama ambavyo mngeweza kuwadanganya wanadamu? Neno: Maandiko Matakatifu Je, ingekuwa vyema Mungu akiwahoji ninyi? Je, mngeweza kumdanganya kama ambavyo mngeweza kuwadanganya wanadamu? BIBLIA KISWAHILI Je! Itafaa yeye kuwatafuta ninyi? Au, kama kumdanganya mtu, je! Mtamdanganya yeye? |
Ni kweli wako kwangu wenye kufanya dhihaka, Jicho langu hukaa katika kunifanyia uchungu kwao.
Basi sasa msiwe watu wenye kudharau, vifungo vyenu msije vikakazwa; maana nimesikia kwa Bwana, BWANA wa majeshi, habari ya hukumu itakayotimizwa, nayo imekusudiwa, itakayoipata dunia yote pia.
Mimi, BWANA, nauchunguza moyo, navijaribu viuno, hata kumpa kila mtu kiasi cha njia zake, kiasi cha matunda ya matendo yake.