Yobu 13:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Je! Mtamwonesha yeye upendeleo? Mtamtetea Mungu? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Je, mnajaribu kumpendelea Mungu? Je, mtamtetea Mungu mahakamani? Biblia Habari Njema - BHND Je, mnajaribu kumpendelea Mungu? Je, mtamtetea Mungu mahakamani? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Je, mnajaribu kumpendelea Mungu? Je, mtamtetea Mungu mahakamani? Neno: Bibilia Takatifu Mtamwonesha upendeleo? Mtamtetea Mungu kwenye mashtaka yake? Neno: Maandiko Matakatifu Mtamwonyesha upendeleo? Mtamtetea Mungu kwenye mashtaka yake? BIBLIA KISWAHILI Je! Mtamwonesha yeye upendeleo? Mtamtetea Mungu? |
Sembuse yeye huwajali nyuso za wakuu, Wala hawajali matajiri kuliko maskini? Kwani wote ni kazi ya mikono yake,
Msitende yasiyo haki katika hukumu, usimpendelee mtu maskini, wala kumstahi mwenye nguvu; bali utamhukumu jirani yako kwa haki.
Kwa sababu hiyo mimi nami nimewafanya ninyi kuwa kitu cha kudharauliwa, na unyonge, mbele ya watu wote, kama vile ninyi msivyozishika njia zangu, bali mmewapendelea watu katika sheria.