Je! Majivuno yako yawanyamazishe watu wawe kimya? Nawe hapo ufanyapo dhihaka, je! Hapana mtu atakayekutahayarisha?
Yobu 13:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Laiti mngenyamaza kabisa! Hilo lingekuwa hekima kwenu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Laiti mngekaa kimya kabisa, ikafikiriwa kwamba mna hekima! Biblia Habari Njema - BHND Laiti mngekaa kimya kabisa, ikafikiriwa kwamba mna hekima! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Laiti mngekaa kimya kabisa, ikafikiriwa kwamba mna hekima! Neno: Bibilia Takatifu Laiti wote mngenyamaza! Kwa kuwa kwenu hilo lingekuwa hekima. Neno: Maandiko Matakatifu Laiti wote mngenyamaza kimya! Kwa kuwa kwenu hilo lingekuwa hekima. BIBLIA KISWAHILI Laiti mngenyamaza kabisa! Hilo lingekuwa hekima kwenu. |
Je! Majivuno yako yawanyamazishe watu wawe kimya? Nawe hapo ufanyapo dhihaka, je! Hapana mtu atakayekutahayarisha?
Je! Maneno yasiyo faida yatakuwa na mwisho? Au, kuna nini kinachokukasirisha, hata ukajibu?
Basi hao watu watatu wakaacha kumjibu Ayubu, kwa sababu alikuwa mwenye haki machoni pake mwenyewe.
Na mimi, je! Ningoje, kwa sababu hawaneni, Kwa sababu wasimama kimya, wala wasijibu tena;
Kwa maana ndoto huja kwa sababu ya shughuli nyingi; na sauti ya mpumbavu kwa njia ya wingi wa maneno.
Kwa ajili ya hayo mwenye busara atanyamaza kimya wakati kama huo; kwa kuwa ni wakati mbaya.
Hayo mnajua, ndugu zangu wapenzi. Basi kila mtu na awe mwepesi wa kusikia, bali si mwepesi wa kusema; wala kukasirika;