Yobu 13:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Hakika ningenena naye huyo Mwenyezi, Nami nataka kuhojiana na Mungu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini ningependa kusema na Mungu mwenye nguvu, natamani kujitetea mbele zake Mungu. Biblia Habari Njema - BHND Lakini ningependa kusema na Mungu mwenye nguvu, natamani kujitetea mbele zake Mungu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini ningependa kusema na Mungu mwenye nguvu, natamani kujitetea mbele zake Mungu. Neno: Bibilia Takatifu Lakini ninayo shauku ya kuzungumza na Mwenyezi na kuhojiana shauri langu na Mungu. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini ninayo shauku ya kuzungumza na Mwenyezi na kuhojiana shauri langu na Mungu. BIBLIA KISWAHILI Hakika ningenena naye huyo Mwenyezi, Nami nataka kuhojiana na Mungu. |
Laiti ningekuwa na mtu wa kunisikia! (Tazama, sahihi yangu ni hii, Mwenyezi na anijibu); Laiti ningekuwa na hayo mashitaka yaliyoandikwa na adui yangu!
Haya, leteni maneno yenu, asema BWANA; toeni hoja zenu zenye nguvu, asema mfalme wa Yakobo.
Sikieni, enyi milima, shutuma ya BWANA, na ninyi, enyi misingi ya dunia iliyo imara; kwa maana BWANA ana shutuma na watu wake, naye atahojiana na Israeli.