Ikiwa nimeuita uharibifu, Wewe u baba yangu; Na kuliambia buu, Wewe u mama yangu, na dada yangu;
Yobu 13:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nijapokuwa ni kama kitu kilichooza, kinachosinyaa, Mfano wa nguo iliyoliwa na nondo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nami naishia kama mti uliooza, mithili ya vazi lililoliwa na nondo. Biblia Habari Njema - BHND Nami naishia kama mti uliooza, mithili ya vazi lililoliwa na nondo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nami naishia kama mti uliooza, mithili ya vazi lililoliwa na nondo. Neno: Bibilia Takatifu “Hivyo mwanadamu huangamia kama kitu kilichooza, kama vazi lililoliwa na nondo. Neno: Maandiko Matakatifu “Hivyo mwanadamu huangamia kama kitu kilichooza, kama vazi lililoliwa na nondo. BIBLIA KISWAHILI Nijapokuwa ni kama kitu kilichooza, kinachosinyaa, Mfano wa nguo iliyoliwa na nondo. |
Ikiwa nimeuita uharibifu, Wewe u baba yangu; Na kuliambia buu, Wewe u mama yangu, na dada yangu;
Basi Shetani akatoka mbele za uso wa BWANA, akampiga Ayubu na majipu mabaya tangu wayo wa mguu hadi utosi wa kichwa.
Je! Si zaidi sana hao wakaao katika nyumba za udongo, Ambazo misingi yao i katika mchanga, Hao wanaopondwa kama nondo!
Mwili wangu unavikwa mabuu na madongoa ya udongo; Ngozi yangu hufumba, kisha ikatumbuka tena.
Ukimrudi mtu kwa kumkemea kwa uovu wake, Watowesha uzuri wake kama nondo. Kila mwanadamu ni ubatili.
Ee BWANA, usikie maombi yangu, Utege sikio lako niliapo, Usiyapuuze machozi yangu. Kwa maana mimi ni mgeni wako, Msafiri kama baba zangu wote.
Tazama, Bwana MUNGU atanisaidia; ni nani atakayenihukumu kuwa mwenye hatia? Tazama hao wote watachakaa kama vazi; nondo atawala.
Kwa sababu hiyo mimi nimekuwa kama nondo kwa Efraimu, nimekuwa kama ubovu kwa nyumba ya Yuda.
Nakusihi, asiwe kama mmoja aliyekufa, ambaye nyama ya mwili wake nusu imelika hapo atokapo tumbo la mama yake.