Yobu 13:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Uondoe mkono wako usinilemee; Na utisho wako usinitie hofu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwanza uniondolee mkono wako unaonipiga, na usiniangamize kwa kitisho chako. Biblia Habari Njema - BHND Kwanza uniondolee mkono wako unaonipiga, na usiniangamize kwa kitisho chako. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza kwanza uniondolee mkono wako unaonipiga, na usiniangamize kwa kitisho chako. Neno: Bibilia Takatifu Ondoa mkono wako uwe mbali nami, uache kuniogofya kwa vitisho vyako. Neno: Maandiko Matakatifu Ondoa mkono wako uwe mbali nami, nawe uache kuniogofya kwa hofu zako kuu. BIBLIA KISWAHILI Uondoe mkono wako usinilemee; Na utisho wako usinitie hofu. |
Lakini niliuzuia mkono wangu, nikatenda kwa ajili ya jina langu, lisitiwe unajisi mbele ya macho ya mataifa, ambao mbele ya macho yao niliwatoa.