Yobu 13:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Lakini msinifanyie mambo mawili, hayo tu, Ndipo nami sitajificha usoni pako; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mungu wangu, nijalie tu haya mawili, nami sitajificha mbali na wewe: Biblia Habari Njema - BHND Mungu wangu, nijalie tu haya mawili, nami sitajificha mbali na wewe: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mungu wangu, nijalie tu haya mawili, nami sitajificha mbali na wewe: Neno: Bibilia Takatifu “Ee Mungu, unijalie tu mimi haya mambo mawili, nami sitajificha uso wako: Neno: Maandiko Matakatifu “Ee Mungu, unijalie tu mimi haya mambo mawili, nami sitajificha uso wako: BIBLIA KISWAHILI Lakini msinifanyie mambo mawili, hayo tu, Ndipo nami sitajificha usoni pako; |
Giza nalo halikufichi kitu, Bali usiku huangaza kama mchana; Giza na mwanga kwako ni sawasawa.