Lakini mimi pia, nina fahamu kama ninyi; Mimi si duni kuliko ninyi; Naam, ni nani asiyejua mambo kama hayo?
Yobu 13:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Hayo myajuayo ninyi, na mimi pia nayajua; Mimi si duni kuliko ninyi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yote mnayoyajua, mimi pia nayajua. Mimi si mtu duni kuliko nyinyi. Biblia Habari Njema - BHND Yote mnayoyajua, mimi pia nayajua. Mimi si mtu duni kuliko nyinyi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yote mnayoyajua, mimi pia nayajua. Mimi si mtu duni kuliko nyinyi. Neno: Bibilia Takatifu Hayo mnayoyajua mimi pia ninayajua; mimi si mtu duni kuliko ninyi. Neno: Maandiko Matakatifu Hayo mnayoyajua mimi pia ninayajua; mimi si mtu duni kuliko ninyi. BIBLIA KISWAHILI Hayo myajuayo ninyi, na mimi pia nayajua; Mimi si duni kuliko ninyi. |
Lakini mimi pia, nina fahamu kama ninyi; Mimi si duni kuliko ninyi; Naam, ni nani asiyejua mambo kama hayo?
Basi ikawa, baada ya BWANA kumwambia Ayubu maneno hayo, BWANA akamwambia huyo Elifazi Mtemani, Hasira zangu zinawaka juu yako, na juu ya hao rafiki zako wawili; kwa kuwa ninyi hamkunena yaliyo sawa katika habari zangu, kama alivyonena mtumishi wangu Ayubu.
Nimekuwa mpumbavu, ninyi mmenilazimisha. Maana ilinipasa nisifiwe na ninyi; kwa sababu sikuwa duni ya mitume walio wakuu kwa lolote, nijapokuwa si kitu.