Nayachukia maisha yangu; Nitayasema malalamiko yangu wazi; Nitanena kwa uchungu wa roho yangu.
Yobu 13:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Nyamazeni, niacheni, ili nipate kunena, Na hayo yatakayonijia na yaje. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Nyamazeni, nami niongee. Yanipate yatakayonipata. Biblia Habari Njema - BHND “Nyamazeni, nami niongee. Yanipate yatakayonipata. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Nyamazeni, nami niongee. Yanipate yatakayonipata. Neno: Bibilia Takatifu “Nyamazeni kimya nipate kusema; kisha na yanipate yatakayonipata. Neno: Maandiko Matakatifu “Nyamazeni kimya nipate kusema; kisha na yanipate yatakayonipata. BIBLIA KISWAHILI Nyamazeni, niacheni, ili nipate kunena, Na hayo yatakayonijia na yaje. |
Nayachukia maisha yangu; Nitayasema malalamiko yangu wazi; Nitanena kwa uchungu wa roho yangu.
Kwa hiyo sitakizuia kinywa changu; Nitanena kwa mateso ya roho yangu; Nitalia kwa uchungu wa nafsi yangu.