Basi sasa hofu ya BWANA na iwe juu yenu; aiweni waangalifu katika jambo mtendalo, kwa maana kwa BWANA, Mungu wetu hakuna upotoshaji wala kupendelea nafsi za watu au kupokea rushwa.
Yobu 13:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Hakika atawakemea ninyi, Mkiwapendelea watu kwa siri. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hakika yeye atawakemea kama mkionesha upendeleo kwa siri. Biblia Habari Njema - BHND Hakika yeye atawakemea kama mkionesha upendeleo kwa siri. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hakika yeye atawakemea kama mkionesha upendeleo kwa siri. Neno: Bibilia Takatifu Hakika angewakemea mkiwapendelea watu kwa siri. Neno: Maandiko Matakatifu Hakika angewakemea kama mkiwapendelea watu kwa siri. BIBLIA KISWAHILI Hakika atawakemea ninyi, Mkiwapendelea watu kwa siri. |
Basi sasa hofu ya BWANA na iwe juu yenu; aiweni waangalifu katika jambo mtendalo, kwa maana kwa BWANA, Mungu wetu hakuna upotoshaji wala kupendelea nafsi za watu au kupokea rushwa.
Sembuse yeye huwajali nyuso za wakuu, Wala hawajali matajiri kuliko maskini? Kwani wote ni kazi ya mikono yake,