Yobu 13:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Tazama, jicho langu limeyaona hayo yote, Sikio langu limeyasikia na kuyaelewa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Tazama, hayo yote nimeyaona kwa macho yangu; nimeyasikia kwa masikio yangu mwenyewe na kuelewa. Biblia Habari Njema - BHND “Tazama, hayo yote nimeyaona kwa macho yangu; nimeyasikia kwa masikio yangu mwenyewe na kuelewa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Tazama, hayo yote nimeyaona kwa macho yangu; nimeyasikia kwa masikio yangu mwenyewe na kuelewa. Neno: Bibilia Takatifu “Macho yangu yameona hili lote, masikio yangu yamesikia na kulielewa. Neno: Maandiko Matakatifu “Macho yangu yameona hili lote, masikio yangu yamesikia na kulielewa. BIBLIA KISWAHILI Tazama, jicho langu limeyaona hayo yote, Sikio langu limeyasikia na kuyaelewa. |
Ni nani aliyemwinua mmoja atokaye mashariki, ambaye katika haki amemwita mguuni pake? Ampa mataifa mbele yake, na kumtawaza juu ya wafalme; awatoa wawe kama mavumbi kwa upanga wake, kama makapi yaliyopeperushwa kwa upinde wake.
hilo tuliloliona na kulisikia, tunawahubiria na ninyi; ili nanyi pia mpate kushirikiana nasi: na ushirika wetu ni pamoja na Baba, na pamoja na Mwana wake Yesu Kristo.