Je! Wewe wajua neno lipi, ambalo sisi hatulijui? Nawe wafahamu nini, ambalo halimo ndani yetu?
Yobu 12:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Lakini mimi pia, nina fahamu kama ninyi; Mimi si duni kuliko ninyi; Naam, ni nani asiyejua mambo kama hayo? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mimi nami ni mwelewa kama nyinyi. Mimi si mtu duni kuliko nyinyi. Yote mliyosema kila mtu anajua. Biblia Habari Njema - BHND Mimi nami ni mwelewa kama nyinyi. Mimi si mtu duni kuliko nyinyi. Yote mliyosema kila mtu anajua. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mimi nami ni mwelewa kama nyinyi. Mimi si mtu duni kuliko nyinyi. Yote mliyosema kila mtu anajua. Neno: Bibilia Takatifu Lakini mimi ninao ufahamu kama ninyi; mimi si duni kwenu. Ni nani asiyejua mambo haya yote? Neno: Maandiko Matakatifu Lakini mimi ninao ufahamu kama ninyi; mimi si duni kwenu. Ni nani asiyejua mambo haya yote? BIBLIA KISWAHILI Lakini mimi pia, nina fahamu kama ninyi; Mimi si duni kuliko ninyi; Naam, ni nani asiyejua mambo kama hayo? |
Je! Wewe wajua neno lipi, ambalo sisi hatulijui? Nawe wafahamu nini, ambalo halimo ndani yetu?