Lakini mpumbavu aweza kupata ufahamu, Ingawa mwanadamu huzaliwa kama mtoto wa punda mwitu.
Yobu 12:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Hapana shaka ninyi ndinyi watu halisi, Nanyi mtakapokufa, ndipo na hekima itakoma. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Sawa! Nyinyi ni watu wa hekima. Hekima itakufa wakati ule mtakapokufa. Biblia Habari Njema - BHND “Sawa! Nyinyi ni watu wa hekima. Hekima itakufa wakati ule mtakapokufa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Sawa! Nyinyi ni watu wa hekima. Hekima itakufa wakati ule mtakapokufa. Neno: Bibilia Takatifu “Bila shaka ninyi ndio watu, nayo hekima itakoma mtakapokufa! Neno: Maandiko Matakatifu “Bila shaka ninyi ndio watu, nayo hekima itakoma mtakapokufa! BIBLIA KISWAHILI Hapana shaka ninyi ndinyi watu halisi, Nanyi mtakapokufa, ndipo na hekima itakoma. |
Lakini mpumbavu aweza kupata ufahamu, Ingawa mwanadamu huzaliwa kama mtoto wa punda mwitu.
Tena akuoneshe hizo siri za hekima, Ya kuwa hufanikiwa katika kuyatimiza makusudi yake! Ujue basi ya kuwa Mungu akuachilia katika uovu wako.
Je! Yapasa mtu mwenye hekima kujibu kwa ujuzi wa uvuvio, Na kulijaza tumbo lake upepo wa mashariki?
Mtu tajiri ana hekima machoni pake mwenyewe; Bali maskini mwenye ufahamu humchunguza sana.
Ole wao walio na hekima katika macho yao wenyewe, na wenye busara katika fikira zao wenyewe!
Sisi tu wapumbavu kwa ajili ya Kristo, lakini ninyi ni wenye akili katika Kristo; sisi tu dhaifu, lakini ninyi mna nguvu; ninyi mna utukufu, lakini sisi hatupati heshima.
Nasema hayo nipate kuwatahayarisha. Je! Ndivyo, kwamba kwenu hakuna hata mtu mmoja mwenye hekima, awezaye kukata maneno ya ndugu zake?