Yobu 12:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kwake yeye ziko nguvu, na hekima; Huyo adanganywaye, na mdanganyi pia ni wake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yeye ana nguvu na hekima; wanaodanganywa na wanaodanganya ni wake. Biblia Habari Njema - BHND Yeye ana nguvu na hekima; wanaodanganywa na wanaodanganya ni wake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yeye ana nguvu na hekima; wanaodanganywa na wanaodanganya ni wake. Neno: Bibilia Takatifu Kwake kuna nguvu na ushindi; anayedanganywa na anayedanganya, wote wawili ni wake. Neno: Maandiko Matakatifu Kwake kuna nguvu na ushindi; adanganywaye na adanganyaye, wote wawili ni wake. BIBLIA KISWAHILI Kwake yeye ziko nguvu, na hekima; Huyo adanganywaye, na mdanganyi pia ni wake. |
Je! Mtanena yasiyo ya haki kwa ajili ya Mungu, Na kusema kwa udanganyifu kwa ajili yake?
Lakini yeye naye ana akili, naye ataleta uovu, wala hatayatangua maneno yake; bali ataondoka juu ya nyumba yao watendao mabaya, na juu ya msaada wa hao watendao maovu.
Na nabii akidanganyika, na kusema neno, mimi, BWANA, nimemdanganya nabii yule, nami nitaunyosha mkono wangu juu yake, na kumwangamiza, asiwe kati ya watu wangu Israeli.
Danieli akajibu, akasema, Na lihimidiwe jina la Mungu milele na milele; kwa kuwa hekima na uweza ni wake.
Na usitutie majaribuni, lakini utuokoe na yule mwovu. [Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amina.]