Lakini macho ya waovu yataingia kiwi, Nao hawatakuwa na njia ya kukimbilia, Na matumaini yao yatakuwa ni kutoa roho.
Yobu 12:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ndipo Ayubu akajibu, na kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ndipo Yobu akajibu: Biblia Habari Njema - BHND Ndipo Yobu akajibu: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ndipo Yobu akajibu: Neno: Bibilia Takatifu Ndipo Ayubu akajibu: Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo Ayubu akajibu: BIBLIA KISWAHILI Ndipo Ayubu akajibu, na kusema, |
Lakini macho ya waovu yataingia kiwi, Nao hawatakuwa na njia ya kukimbilia, Na matumaini yao yatakuwa ni kutoa roho.
Katika siku hiyo BWANA, kwa upanga wake ulio mkali, ulio mkubwa, ulio na nguvu, atamwadhibu Lewiathani, nyoka yule mwepesi, na Lewiathani, nyoka yule mwenye kuzongazonga; naye atamwua yule joka aliye baharini.