Yobu 11:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Cheo chake ni kirefu kuliko dunia, Ni kipana zaidi ya bahari. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ukuu huo wapita marefu ya dunia, wapita mapana ya bahari. Biblia Habari Njema - BHND Ukuu huo wapita marefu ya dunia, wapita mapana ya bahari. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ukuu huo wapita marefu ya dunia, wapita mapana ya bahari. Neno: Bibilia Takatifu Kipimo chake ni kirefu kuliko dunia, nacho ni kipana kuliko bahari. Neno: Maandiko Matakatifu Kipimo chake ni kirefu kuliko dunia, nacho ni kipana kuliko bahari. BIBLIA KISWAHILI Cheo chake ni kirefu kuliko dunia, Ni kipana zaidi ya bahari. |
Ni juu mno kama mbingu; waweza kufanya nini wewe? Ni wenye kina kuliko kuzimuni; waweza kujua nini wewe?
Tazama, nitakujibu, katika neno hili huna haki; Kwa maana Mungu ni mkuu kuliko mwanadamu.
Ni nani huyu afichaye ushauri bila maarifa? Kwa maana, nimesema maneno nisiyoyafahamu, Mambo ya ajabu ya kunishinda mimi, nisiyoyajua.