Yobu 11:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Lakini, laiti Mungu angenena, Na kuifunua midomo yake juu yako; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Laiti Mungu angefungua kinywa chake akatoa sauti yake kukujibu! Biblia Habari Njema - BHND Laiti Mungu angefungua kinywa chake akatoa sauti yake kukujibu! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Laiti Mungu angefungua kinywa chake akatoa sauti yake kukujibu! Neno: Bibilia Takatifu Aha! Laiti kwamba Mungu angesema, kwamba angefungua midomo yake dhidi yako, Neno: Maandiko Matakatifu Aha! Laiti kwamba Mungu angesema, kwamba angefungua midomo yake dhidi yako, BIBLIA KISWAHILI Lakini, laiti Mungu angenena, Na kuifunua midomo yake juu yako; |
Tena akuoneshe hizo siri za hekima, Ya kuwa hufanikiwa katika kuyatimiza makusudi yake! Ujue basi ya kuwa Mungu akuachilia katika uovu wako.
Laiti ningekuwa na mtu wa kunisikia! (Tazama, sahihi yangu ni hii, Mwenyezi na anijibu); Laiti ningekuwa na hayo mashitaka yaliyoandikwa na adui yangu!
Basi ikawa, baada ya BWANA kumwambia Ayubu maneno hayo, BWANA akamwambia huyo Elifazi Mtemani, Hasira zangu zinawaka juu yako, na juu ya hao rafiki zako wawili; kwa kuwa ninyi hamkunena yaliyo sawa katika habari zangu, kama alivyonena mtumishi wangu Ayubu.