Yobu 11:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kwa kuwa wewe wasema, Mafunzo yangu ni safi, Nami ni safi machoni pako. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wewe wadai: ‘Ninachosema ni kweli, naam, sina lawama mbele ya Mungu.’ Biblia Habari Njema - BHND Wewe wadai: ‘Ninachosema ni kweli, naam, sina lawama mbele ya Mungu.’ Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wewe wadai: ‘Ninachosema ni kweli, naam, sina lawama mbele ya Mungu.’ Neno: Bibilia Takatifu Unamwambia Mungu, ‘Imani yangu ni kamili nami ni safi mbele zako.’ Neno: Maandiko Matakatifu Unamwambia Mungu, ‘Imani yangu ni kamili nami ni safi mbele zako.’ BIBLIA KISWAHILI Kwa kuwa wewe wasema, Mafunzo yangu ni safi, Nami ni safi machoni pako. |
Hapo ndipo ningefarijika hata sasa; Naam, ningejikuza katika maumivu yasiyoniacha; Kwa kuwa sikuyakana maneno yake Mtakatifu.
Ikiwa nimefanya dhambi, nikufanyieje, Ee mlinda wanadamu? Mbona umeniweka niwe shabaha yako, Hata nimekuwa mzigo kwa nafsi yangu?
Muwe tayari siku zote kumjibu kila mtu awaulizaye habari za tumaini lililo ndani yenu; lakini kwa upole na kwa heshima.