Ni nchi ya giza kuu, kama giza lenyewe lilivyo; Ni nchi ya giza tupu, isiyo na mpango wowote wa mambo, Nchi ambayo nuru yake ni kama giza.
Yobu 11:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ndipo Sofari Mnaamathi akajibu, na kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha Sofari, Mnaamathi, akamjibu Yobu: Biblia Habari Njema - BHND Kisha Sofari, Mnaamathi, akamjibu Yobu: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha Sofari, Mnaamathi, akamjibu Yobu: Neno: Bibilia Takatifu Ndipo Sofari Mnaamathi akajibu: Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo Sofari Mnaamathi akajibu: BIBLIA KISWAHILI Ndipo Sofari Mnaamathi akajibu, na kusema, |
Ni nchi ya giza kuu, kama giza lenyewe lilivyo; Ni nchi ya giza tupu, isiyo na mpango wowote wa mambo, Nchi ambayo nuru yake ni kama giza.
Basi ikawa hao marafiki watatu wa Ayubu walipopata habari ya mabaya hayo yote yaliyomfikia, wakaja kila mtu kutoka mahali pake; nao ni Elifazi Mtemani, na Bildadi Mshuhi, na Sofari Mnaamathi; wakapatana pamoja ili waende kumfariji Ayubu na kumtuliza moyo.