Je! Ni vema kwako wewe kuonea, Na kuidharau kazi ya mikono yako, Na kuiunga mkono mipango ya waovu?
Yobu 10:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mikono yako imeniumba na kunifinyanga; Nawe utageuka na kuniangamiza? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mikono yako iliniunda na kuniumba, lakini sasa wageuka kuniangamiza. Biblia Habari Njema - BHND Mikono yako iliniunda na kuniumba, lakini sasa wageuka kuniangamiza. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mikono yako iliniunda na kuniumba, lakini sasa wageuka kuniangamiza. Neno: Bibilia Takatifu “Mikono yako ndiyo iliyoniumba na kunifanya. Je, sasa utageuka na kuniangamiza? Neno: Maandiko Matakatifu “Mikono yako ndiyo iliyoniumba na kunifanya. Je, sasa utageuka na kuniangamiza? BIBLIA KISWAHILI Mikono yako imeniumba na kunifinyanga; Nawe utageuka na kuniangamiza? |
Je! Ni vema kwako wewe kuonea, Na kuidharau kazi ya mikono yako, Na kuiunga mkono mipango ya waovu?
Kwani najua kuwa utanileta hata kifoni, Niifikie nyumba waliyoaandaliwa wenye uhai wote.
Jueni kwamba BWANA ndiye Mungu; Ndiye aliyetuumba na sisi tu watu wake; Tu watu wake, na kondoo wa malisho yake.
BWANA atanitimizia malengo yake kwangu; Ee BWANA, fadhili zako ni za milele; Usiiache kazi ya mikono yako.
Mifupa yangu haikusitirika kwako, Nilipoumbwa kwa siri, Nilipoungwa kwa ustadi katika pande za chini za nchi;
Macho yako yaliniona kabla sijakamilika; Kitabuni mwako ziliandikwa zote pia, Siku zilizoamriwa kabla hazijawa bado.
Kila mmoja aliyeitwa kwa jina langu, niliyemwumba kwa ajili ya utukufu wangu; mimi nimemwumba, naam, mimi nimemfanya.