Yobu 10:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Hata ukaulizauliza habari za uovu wangu, Na kuitafuta dhambi yangu, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema hata uuchunguze uovu wangu, na kuitafuta dhambi yangu? Biblia Habari Njema - BHND hata uuchunguze uovu wangu, na kuitafuta dhambi yangu? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza hata uuchunguze uovu wangu, na kuitafuta dhambi yangu? Neno: Bibilia Takatifu ili utafute makosa yangu na kuichunguza dhambi yangu; Neno: Maandiko Matakatifu ili kwamba utafute makosa yangu na kuichunguza dhambi yangu; BIBLIA KISWAHILI Hata ukaulizauliza habari za uovu wangu, Na kuitafuta dhambi yangu, |
Ikiwa nimefanya dhambi, nikufanyieje, Ee mlinda wanadamu? Mbona umeniweka niwe shabaha yako, Hata nimekuwa mzigo kwa nafsi yangu?
Tena katika pindo za nguo zako imeonekana damu ya roho zao maskini wasio na hatia; sikuiona penye mahali palipobomoka, lakini niliiona juu ya hawa wote.
Kisha itakuwa wakati ule, nitauchunguza Yerusalemu kwa taa; nami nitawaadhibu watu walioganda juu ya masira yao; wasemao katika mioyo yao, BWANA hatatenda mema, wala hatatenda mabaya.
Basi ninyi msihukumu neno kabla ya wakati wake, hata ajapo Bwana; ambaye atayamulika yaliyositirika katika giza, na kuyadhihirisha mashauri ya mioyo; ndipo kila mtu atakapoipata sifa yake kwa Mungu.
Lakini huko, kama mkimtafuta BWANA, Mungu wako, utampata, ukimtafuta kwa moyo wako wote, na roho yako yote.