Yobu 10:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Je! Wewe una macho ya kimwili, Au je! Waona kama aonavyo binadamu? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Je, una macho kama ya binadamu? Je, waona kama binadamu aonavyo? Biblia Habari Njema - BHND Je, una macho kama ya binadamu? Je, waona kama binadamu aonavyo? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Je, una macho kama ya binadamu? Je, waona kama binadamu aonavyo? Neno: Bibilia Takatifu Je, wewe una macho ya kimwili? Je, wewe huona kama mwanadamu aonavyo? Neno: Maandiko Matakatifu Je, wewe una macho ya kimwili? Je, wewe huona kama mwanadamu aonavyo? BIBLIA KISWAHILI Je! Wewe una macho ya kimwili, Au je! Waona kama aonavyo binadamu? |
Akawaambia, Ninyi ndinyi mnaojidai haki mbele ya wanadamu, lakini Mungu awajua mioyo yenu; kwa kuwa lililotukuka kwa wanadamu huwa chukizo mbele za Mungu.
Kichwa chake na nywele zake zilikuwa nyeupe kama sufu nyeupe, kama theluji; na macho yake kama muali wa moto;
Lakini BWANA akamwambia Samweli, Usimtazame uso wake, wala urefu wa kimo chake; kwa maana mimi nimemkataa. BWANA haangalii kama binadamu aangaliavyo; maana wanadamu huitazama sura ya nje, bali BWANA huutazama moyo.