Tazama, mtumwa wako ameona kibali machoni pako, nawe umezidisha rehema zako ulizonifanyia kwa kuponya nafsi yangu, nami siwezi kukimbilia mlimani nisipatwe na yale mabaya, nikafa.
Yobu 10:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Unanijalia uhai na fadhili, Na kwa uangalifu wako roho yangu imetunzwa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Umenijalia uhai na fadhili, uangalifu wako umeisalimisha nafsi yangu. Biblia Habari Njema - BHND Umenijalia uhai na fadhili, uangalifu wako umeisalimisha nafsi yangu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Umenijalia uhai na fadhili, uangalifu wako umeisalimisha nafsi yangu. Neno: Bibilia Takatifu Umenipa uhai na kunitendea wema, katika uangalizi wako umeilinda roho yangu. Neno: Maandiko Matakatifu Umenipa uhai na kunitendea wema, katika uangalizi wako umeilinda roho yangu. BIBLIA KISWAHILI Unanijalia uhai na fadhili, Na kwa uangalifu wako roho yangu imetunzwa. |
Tazama, mtumwa wako ameona kibali machoni pako, nawe umezidisha rehema zako ulizonifanyia kwa kuponya nafsi yangu, nami siwezi kukimbilia mlimani nisipatwe na yale mabaya, nikafa.
Kwa sababu hiyo nawaambieni, Msisumbukie maisha yenu, mle nini au mnywe nini; wala miili yenu, mvae nini. Maisha je! Si zaidi ya chakula, na mwili zaidi ya mavazi?
wala hatumikiwi kwa mikono ya wanadamu kana kwamba anahitaji kitu chochote; kwa maana ndiye anayewapa wote uzima na pumzi na vitu vyote.
Kwa maana ndani yake yeye tunaishi, tunakwenda, na kuwa na uhai wetu. Kama vile mmoja wenu, mtunga mashairi alivyosema, Maana sisi sote tu wazawa wake.