Yobu 10:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Umenivika ngozi na nyama, Na kuniunga pamoja kwa mifupa na mishipa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Uliuumba mwili wangu kwa mifupa na mishipa, ukaifunika mifupa yangu kwa nyama na ngozi. Biblia Habari Njema - BHND Uliuumba mwili wangu kwa mifupa na mishipa, ukaifunika mifupa yangu kwa nyama na ngozi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Uliuumba mwili wangu kwa mifupa na mishipa, ukaifunika mifupa yangu kwa nyama na ngozi. Neno: Bibilia Takatifu ukanivika ngozi na nyama, na kuniunga pamoja kwa mifupa na mishipa? Neno: Maandiko Matakatifu ukanivika ngozi na nyama, na kuniunga pamoja kwa mifupa na mishipa? BIBLIA KISWAHILI Umenivika ngozi na nyama, Na kuniunga pamoja kwa mifupa na mishipa. |
Katika yeye mwili wote ukiungamanishwa na kushikanishwa kwa msaada wa kila kiungo, kwa kadiri ya utendaji wa kila sehemu moja moja, huukuza mwili upate kujijenga wenyewe katika upendo.