Yeremia 7:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Neno hili ndilo lililomjia Yeremia, kutoka kwa BWANA, kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwenyezi-Mungu alimwamuru Yeremia aende kusimama Biblia Habari Njema - BHND Mwenyezi-Mungu alimwamuru Yeremia aende kusimama Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwenyezi-Mungu alimwamuru Yeremia aende kusimama Neno: Bibilia Takatifu Hili ndilo neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Mwenyezi Mungu: Neno: Maandiko Matakatifu Hili ndilo neno lililomjia Yeremia kutoka kwa bwana: BIBLIA KISWAHILI Neno hili ndilo lililomjia Yeremia, kutoka kwa BWANA, kusema, |
Neno hili ndilo lililomjia Yeremia, katika habari za watu wote wa Yuda; katika mwaka wa nne wa Yehoyakimu, mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda mwaka ule ndio mwaka wa kwanza wa Nebukadneza, mfalme wa Babeli;
Simama langoni pa nyumba ya BWANA, ukatangaze hapo neno hili, ukisema, Sikilizeni neno la BWANA, ninyi nyote wa Yuda, mnaoingia katika malango haya ili kumwabudu BWANA.