Yeremia 51:42 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Bahari imefika juu ya Babeli, Umefunikwa kwa wingi wa mawimbi yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Bahari imefurika juu ya Babuloni, Babuloni imefunikwa mawimbi yaliyochafuka. Biblia Habari Njema - BHND Bahari imefurika juu ya Babuloni, Babuloni imefunikwa mawimbi yaliyochafuka. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Bahari imefurika juu ya Babuloni, Babuloni imefunikwa mawimbi yaliyochafuka. Neno: Bibilia Takatifu Bahari itainuka juu ya Babeli; mawimbi yake yanayonguruma yatamfunika. Neno: Maandiko Matakatifu Bahari itainuka juu ya Babeli; mawimbi yake yenye kunguruma yatamfunika. BIBLIA KISWAHILI Bahari imefika juu ya Babeli, Umefunikwa kwa wingi wa mawimbi yake. |
Kilindi chapigia kelele kilindi kwa sauti ya maporomoko ya maji yako, Gharika zako zote na mawimbi yako yote yamepita juu yangu.
Ufunuo juu ya nyika kando ya bahari. Kama tufani za Negebu zikaribiavyo kwa kasi, inakuja kutoka kwa nyika, toka nchi itishayo.
Maana BWANA amwangamiza Babeli, Na kuikomesha sauti kuu ndani yake; Na mawimbi yake yavuma kama maji mengi, Mshindo wa sauti zao wafanya makelele;
basi Bwana MUNGU asema hivi; Tazama, mimi ni juu yako, Ee Tiro, nami nitaleta mataifa mengi kupigana nawe, kama bahari iinuavyo mawimbi yake.
Na wanawe watafanya vita, na kukusanya mkutano wa majeshi makuu; watakaokuja na kufurika na kupita katikati; nao watarudi na kufanya vita mpaka penye ngome yake.
Danieli akanena, akisema, Niliona katika maono yangu wakati wa usiku; na tazama, hizo pepo nne za mbinguni zilivuma kwa nguvu juu ya bahari kubwa.
Na baada ya yale majuma sitini na mawili, masihi atakatiliwa mbali, naye atakuwa hana kitu; na watu wa mkuu atakayekuja watauangamiza mji, na patakatifu; na mwisho wake utakuwa pamoja na gharika, na hata mwisho ule vita vitakuwapo; ukiwa umekwisha kukusudiwa.
Tena, kutakuwa na ishara katika jua, na mwezi, na nyota; na katika nchi dhiki ya mataifa wakishangaa kwa kuvuma kwa habari na mawimbi yake;