Kwa maana mataifa mengi na wafalme wakuu watawatumikisha; naam, hao pia; nami nitawalipa kwa kadiri ya matendo yao, na kwa kadiri ya kazi ya mikono yao.
Yeremia 50:41 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Angalia, watu wanakuja watokao kaskazini; na taifa kubwa, na wafalme wengi wataamshwa toka pande za mwisho za dunia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Tazama! Watu wanakuja kutoka kaskazini; taifa lenye nguvu na wafalme wengi wanajitayarisha kutoka miisho ya dunia. Biblia Habari Njema - BHND “Tazama! Watu wanakuja kutoka kaskazini; taifa lenye nguvu na wafalme wengi wanajitayarisha kutoka miisho ya dunia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Tazama! Watu wanakuja kutoka kaskazini; taifa lenye nguvu na wafalme wengi wanajitayarisha kutoka miisho ya dunia. Neno: Bibilia Takatifu “Tazama! Jeshi linakuja kutoka kaskazini; taifa kubwa na wafalme wengi wanaamshwa kutoka miisho ya dunia. Neno: Maandiko Matakatifu “Tazama! Jeshi linakuja kutoka kaskazini; taifa kubwa na wafalme wengi wanaamshwa kutoka miisho ya dunia. BIBLIA KISWAHILI Angalia, watu wanakuja watokao kaskazini; na taifa kubwa, na wafalme wengi wataamshwa toka pande za mwisho za dunia. |
Kwa maana mataifa mengi na wafalme wakuu watawatumikisha; naam, hao pia; nami nitawalipa kwa kadiri ya matendo yao, na kwa kadiri ya kazi ya mikono yao.
Kwa maana juu ya Babeli nitaamsha na kuleta kusanyiko la mataifa makubwa, toka nchi ya kaskazini; nao watajipanga juu yake; kutoka huko atatwaliwa; mishale yao itakuwa kama ya mtu shujaa aliye stadi; hakuna hata mmoja utakaorudi bure.
Inoeni hiyo mishale; zishikeni ngao kwa nguvu; BWANA ameziamsha roho za wafalme wa Wamedi; kwa sababu shauri lake ni juu ya Babeli auangamize; maana ni kisasi cha BWANA, kisasi cha hekalu lake.
Na zile pembe kumi ulizoziona, na huyo mnyama, hao watamchukia yule kahaba, nao watamfanya kuwa mkiwa na uchi, watamla nyama yake, watamteketeza kabisa kwa moto.