Yeremia 48:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Najua ghadhabu yake, asema BWANA, ya kuwa si kitu; majisifu yake hayakutenda neno lolote. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Nami Mwenyezi-Mungu nasema: Najua ufidhuli wake; Majivuno yake ni ya bure, na matendo yake si kitu. Biblia Habari Njema - BHND “Nami Mwenyezi-Mungu nasema: Najua ufidhuli wake; Majivuno yake ni ya bure, na matendo yake si kitu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Nami Mwenyezi-Mungu nasema: Najua ufidhuli wake; Majivuno yake ni ya bure, na matendo yake si kitu. Neno: Bibilia Takatifu Ninaujua ujeuri wake, lakini ni bure,” asema Mwenyezi Mungu, “nako kujisifu kwake hakumsaidii chochote. Neno: Maandiko Matakatifu Ninaujua ujeuri wake, lakini ni bure,” asema bwana, “nako kujisifu kwake hakumsaidii chochote. BIBLIA KISWAHILI Najua ghadhabu yake, asema BWANA, ya kuwa si kitu; majisifu yake hayakutenda neno lolote. |
Tumesikia habari za kiburi cha Moabu, ya kwamba ni mwenye kiburi kingi; habari za majivuno yake, na kiburi chake, na ghadhabu yake; majivuno yake si kitu.
Upanga uko juu ya hao wajisifuo, nao watapumbazika; upanga uko juu ya mashujaa wake, nao watafadhaika.