Yeremia 43:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ndipo neno la BWANA likamjia Yeremia huko Tapanesi, kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi neno la Mwenyezi-Mungu likamjia Yeremia huko Tahpanesi: Biblia Habari Njema - BHND Basi neno la Mwenyezi-Mungu likamjia Yeremia huko Tahpanesi: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi neno la Mwenyezi-Mungu likamjia Yeremia huko Tahpanesi: Neno: Bibilia Takatifu Huko Tapanesi neno la Mwenyezi Mungu likamjia Yeremia kusema: Neno: Maandiko Matakatifu Huko Tahpanhesi neno la bwana likamjia Yeremia kusema: BIBLIA KISWAHILI Ndipo neno la BWANA likamjia Yeremia huko Tapanesi, kusema, |
Twaa mawe makubwa mikononi mwako, ukayafiche ndani ya chokaa ya kazi ya matofali, penye maingilio ya nyumba ya Farao huko Tapanesi, machoni pa watu wa Yuda;
Neno lililomjia Yeremia, kuhusu Wayahudi wote waliokaa katika nchi ya Misri, waliokaa Migdoli, na Tapanesi, na Nofu, na katika nchi ya Pathrosi, kusema,
Tangazeni habari hii katika Misri, mkaihubiri katika Migdoli, na kuihubiri katika Nofu, na Tapanesi; semeni, Simama, ujitayarishe kwa maana upanga umekula pande zako zote.
Katika mwaka wa kumi, mwezi wa kumi, siku ya kumi na mbili ya mwezi, neno la BWANA likanijia, kusema,
Huko Tapanesi nako mchana utakuwa giza, nitakapovunja huko kongwa za Misri, na kiburi cha uwezo wake kitakoma ndani yake, na katika habari zake, wingu litaifunika, na binti zake watakwenda utumwani.
Ikawa katika mwaka wa kumi na mmoja, mwezi wa tatu, siku ya kwanza ya mwezi, neno la BWANA likanijia, kusema,
Ikawa katika mwaka wa kumi na mbili, mwezi wa kumi na mbili, siku ya kwanza ya mwezi, neno la BWANA likanijia, kusema,
Nami katika hiyo nimeteswa hata kufungwa kama mtenda mabaya; lakini neno la Mungu halifungwi.