Biblia ya mtandaoni

Matangazo

Biblia nzima Agano la Kale Agano Jipya

Yeremia 42:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

Nami nitawapa rehema, kwamba awarehemu ninyi, na kuwarudisha mkae katika nchi yenu wenyewe.

Tazama sura

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

Nitawahurumieni na kumfanya mfalme awahurumie na kuwaacha nchini mwenu.

Tazama sura

Biblia Habari Njema - BHND

Nitawahurumieni na kumfanya mfalme awahurumie na kuwaacha nchini mwenu.

Tazama sura

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

Nitawahurumieni na kumfanya mfalme awahurumie na kuwaacha nchini mwenu.

Tazama sura

Neno: Bibilia Takatifu

Nitawaonea huruma ili naye awe na huruma kwenu na kuwarudisha katika nchi yenu.’

Tazama sura

Neno: Maandiko Matakatifu

Nitawaonea huruma ili naye awe na huruma nanyi na kuwarudisha katika nchi yenu.’

Tazama sura

BIBLIA KISWAHILI

Nami nitawapa rehema, kwamba awarehemu ninyi, na kuwarudisha mkae katika nchi yenu wenyewe.

Tazama sura
Tafsiri zingine

Yeremia 42:12
3 Marejeleo ya Msalaba  

Ee Bwana, nakusihi, litege sikio lako, uyasikilize maombi ya mtumishi wako, na maombi ya watumishi wako, wanaofurahi kulicha jina lako; nakuomba sana; unifanikishe mimi, mtumishi wako, leo, ukanijalie rehema mbele ya mtu huyu. (Maana, nilikuwa mnyweshaji wa mfalme).

Njia za mtu zikimpendeza BWANA, Hata adui zake huwapatanisha naye.