wala makuhani Walawi hawatakosa kuwa na mtu wa kusimama mbele zangu, na kutoa sadaka za kuteketezwa, na kufukiza matoleo, na kufanya dhabihu daima.
Yeremia 33:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Neno la BWANA likamjia Yeremia, kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia: Biblia Habari Njema - BHND Neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia: Neno: Bibilia Takatifu Neno la Mwenyezi Mungu likamjia Yeremia kusema: Neno: Maandiko Matakatifu Neno la bwana likamjia Yeremia kusema: BIBLIA KISWAHILI Neno la BWANA likamjia Yeremia, kusema, |
wala makuhani Walawi hawatakosa kuwa na mtu wa kusimama mbele zangu, na kutoa sadaka za kuteketezwa, na kufukiza matoleo, na kufanya dhabihu daima.
BWANA asema hivi, Kama mkiweza kulivunja agano langu la mchana, na agano langu la usiku, hata usiwepo tena mchana na usiku kwa wakati wake,