Kwa maana, tazama, siku zinakuja, asema BWANA, nitakapowarejesha watu wangu wa Israeli na Yuda waliofungwa, asema BWANA; nami nitawarudisha hadi katika nchi niliyowapa baba zao, nao wataimiliki.
Yeremia 30:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Na haya ndiyo maneno aliyosema BWANA, kuhusu Israeli, na kuhusu Yuda. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Haya ndiyo mambo aliyosema Mwenyezi-Mungu kuhusu watu wa Israeli na Yuda: Biblia Habari Njema - BHND Haya ndiyo mambo aliyosema Mwenyezi-Mungu kuhusu watu wa Israeli na Yuda: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Haya ndiyo mambo aliyosema Mwenyezi-Mungu kuhusu watu wa Israeli na Yuda: Neno: Bibilia Takatifu Haya ndio maneno aliyoyanena Mwenyezi Mungu kuhusu Israeli na Yuda: Neno: Maandiko Matakatifu Haya ndiyo maneno bwana aliyoyanena kuhusu Israeli na Yuda: BIBLIA KISWAHILI Na haya ndiyo maneno aliyosema BWANA, kuhusu Israeli, na kuhusu Yuda. |
Kwa maana, tazama, siku zinakuja, asema BWANA, nitakapowarejesha watu wangu wa Israeli na Yuda waliofungwa, asema BWANA; nami nitawarudisha hadi katika nchi niliyowapa baba zao, nao wataimiliki.