Na mwenyeji wa nchi ya pwani atasema katika siku hiyo, Angalia, haya ndiyo yaliyowapata watu wale tuliowatumainia, ambao tuliwakimbilia watuokoe kutoka kwa mfalme wa Ashuru; na sisi je! Twawezaje kupona?
Yeremia 30:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Neno hili ndilo lililomjia Yeremia, kutoka kwa BWANA, kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Mwenyezi-Mungu: Biblia Habari Njema - BHND Neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Mwenyezi-Mungu: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Mwenyezi-Mungu: Neno: Bibilia Takatifu Hili ndilo neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Mwenyezi Mungu: Neno: Maandiko Matakatifu Hili ndilo neno lililomjia Yeremia kutoka kwa bwana: BIBLIA KISWAHILI Neno hili ndilo lililomjia Yeremia, kutoka kwa BWANA, kusema, |
Na mwenyeji wa nchi ya pwani atasema katika siku hiyo, Angalia, haya ndiyo yaliyowapata watu wale tuliowatumainia, ambao tuliwakimbilia watuokoe kutoka kwa mfalme wa Ashuru; na sisi je! Twawezaje kupona?
Lakini jueni hakika kwamba, mkiniua, mtajiletea juu yenu damu isiyo na hatia itakuwa juu yenu, na juu ya mji huu, na juu ya wenyeji wake; kwa maana ni kweli BWANA amenituma kwenu, kuwaambieni yote mliyoyasikia.
basi, BWANA asema hivi, Tazama, nitamwadhibu Shemaya, Mnehelami, na wazawa wake; hatakuwa na mtu atakayekaa katika watu hawa, wala hatayaona mema nitakayowatendea watu wangu, asema BWANA; kwa sababu amenena maneno ya uasi juu ya BWANA.
BWANA Mungu wa Israeli, asema hivi, ya kwamba, Uyaandike kitabuni maneno hayo yote niliyokuambia.