zaidi ya faida ya wachuuzi, na bidhaa ya wafanya biashara, na ya wafalme wote wa hao waliochanganyika, na ya watawala wa nchi.
Yeremia 25:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC na wafalme wote wa Arabuni, na wafalme wote wa watu waliochanganyika wakaao jangwani; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema wafalme wote wa Arabia; wafalme wote wa makabila yaliyochanganyika jangwani; Biblia Habari Njema - BHND wafalme wote wa Arabia; wafalme wote wa makabila yaliyochanganyika jangwani; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza wafalme wote wa Arabia; wafalme wote wa makabila yaliyochanganyika jangwani; Neno: Bibilia Takatifu wafalme wote wa Arabuni na wafalme wote wa watu wageni wanaoishi katika jangwa; Neno: Maandiko Matakatifu wafalme wote wa Arabuni na wafalme wote wa watu wageni wanaoishi katika jangwa; BIBLIA KISWAHILI na wafalme wote wa Arabuni, na wafalme wote wa watu waliochanganyika wakaao jangwani; |
zaidi ya faida ya wachuuzi, na bidhaa ya wafanya biashara, na ya wafalme wote wa hao waliochanganyika, na ya watawala wa nchi.
mbali na ile waliyoileta wachuuzi na wafanya biashara; tena wafalme wote wa Arabuni, na watawala wa nchi wakamletea Sulemani dhahabu na fedha.
na watu wote waliochanganyika pamoja, na wafalme wote wa nchi ya Uzi, na wafalme wote wa nchi ya Wafilisti, na Ashkeloni, na Gaza, na Ekroni, na mabaki ya Ashdodi;
Upanga uko juu ya farasi wao, na juu ya magari yao ya vita; na juu ya watu wote waliochanganyika ndani yake, nao watakuwa kama wanawake; upanga u juu ya hazina zake, nazo zitaibwa.
Arabuni, na wakuu wote wa Kedari, ndio waliokuwa wafanya biashara wa mkono wako; kwa wana-kondoo, na kondoo dume, na mbuzi; kwa hao walifanya biashara nawe.
Kushi, na Putu, na Ludi, na watu wote waliochanganyika, na Kubu, na wana wa nchi ya agano, wataanguka kwa upanga pamoja nao.