Nami nitawasha moto katika nyumba za miungu ya Misri, na kuziteketeza, na kuwachukua mateka; naye atajipamba kwa nchi ya Misri, kama vile mchungaji avaavyo nguo zake; naye atatoka huko na amani.
Yeremia 25:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Farao, mfalme wa Misri, na watumishi wake na wakuu wake na watu wake wote; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Farao, mfalme wa Misri, maofisa na viongozi wake, pamoja na watu wake wote; Biblia Habari Njema - BHND Farao, mfalme wa Misri, maofisa na viongozi wake, pamoja na watu wake wote; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Farao, mfalme wa Misri, maofisa na viongozi wake, pamoja na watu wake wote; Neno: Bibilia Takatifu Farao mfalme wa Misri, watumishi wake, maafisa wake na watu wake wote, Neno: Maandiko Matakatifu pia Farao mfalme wa Misri, watumishi wake, maafisa wake na watu wake wote, BIBLIA KISWAHILI Farao, mfalme wa Misri, na watumishi wake na wakuu wake na watu wake wote; |
Nami nitawasha moto katika nyumba za miungu ya Misri, na kuziteketeza, na kuwachukua mateka; naye atajipamba kwa nchi ya Misri, kama vile mchungaji avaavyo nguo zake; naye atatoka huko na amani.
Naye atazivunja nguzo za Beth-shemeshi, iliyoko huko katika nchi ya Misri, na nyumba za miungu ya Misri ataziteketeza.
Kuhusu Misri; habari za jeshi la Farao Neko, mfalme wa Misri, lililokuwa karibu na mto Frati katika Karkemishi, ambalo Nebukadneza, mfalme wa Babeli, alilipiga katika mwaka wa nne wa Yehoyakimu, mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda.