Ndipo BWANA akaniambia, Unaona nini Yeremia? Nikasema, Naona tini; tini nzuri zilizo nzuri sana; na tini mbovu zilizo mbovu sana, zisizoweza kuliwa, kwa kuwa ni mbovu sana.
Yeremia 24:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Kisha neno la BWANA likanijia, kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hapo neno la Mwenyezi-Mungu likanijia: Biblia Habari Njema - BHND Hapo neno la Mwenyezi-Mungu likanijia: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hapo neno la Mwenyezi-Mungu likanijia: Neno: Bibilia Takatifu Kisha neno la Mwenyezi Mungu likanijia: Neno: Maandiko Matakatifu Kisha neno la bwana likanijia: BIBLIA KISWAHILI Kisha neno la BWANA likanijia, kusema, |
Ndipo BWANA akaniambia, Unaona nini Yeremia? Nikasema, Naona tini; tini nzuri zilizo nzuri sana; na tini mbovu zilizo mbovu sana, zisizoweza kuliwa, kwa kuwa ni mbovu sana.
BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Kama zilivyo tini hizi nzuri, ndivyo nitakavyowaangalia mateka wa Yuda, niliowatoa katika mahali hapa, waende mpaka nchi ya Wakaldayo, wapate mema.