Basi watumwa wake mfalme wa Shamu wakamwambia, Mungu wao ni mungu wa milima; ndiyo sababu ya kutushinda sisi; lakini na tupigane nao katika nchi tambarare, na hakika tutawashinda wao.
Yeremia 23:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mimi ni Mungu aliye karibu, asema BWANA, mimi si Mungu aliye mbali. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Mimi ni Mungu aliye karibu, si Mungu aliye mbali. Biblia Habari Njema - BHND “Mimi ni Mungu aliye karibu, si Mungu aliye mbali. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Mimi ni Mungu aliye karibu, si Mungu aliye mbali. Neno: Bibilia Takatifu “Je, mimi ni Mungu aliye karibu tu, wala si Mungu aliye pia mbali?” Mwenyezi Mungu asema. Neno: Maandiko Matakatifu “Je, mimi ni Mungu aliyeko hapa karibu tu,” bwana asema, “wala si Mungu aliyeko pia mbali? BIBLIA KISWAHILI Mimi ni Mungu aliye karibu, asema BWANA, mimi si Mungu aliye mbali. |
Basi watumwa wake mfalme wa Shamu wakamwambia, Mungu wao ni mungu wa milima; ndiyo sababu ya kutushinda sisi; lakini na tupigane nao katika nchi tambarare, na hakika tutawashinda wao.
Akaja yule mtu wa Mungu, akamwambia mfalme wa Israeli, akasema, BWANA asema hivi, Kwa sababu Washami wamesema, BWANA ni Mungu wa milima wala si Mungu wa nchi tambarare; basi nitawatia makutano haya yote walio wengi mkononi mwako, nanyi mtajua ya kuwa ndimi BWANA.
ili wamtafute Mungu, ingawa ni kwa kupapasapapasa, wakamwone, ijapokuwa hawi mbali na kila mmoja wetu.