Naye atapavunja kama chombo cha mfinyanzi kivunjwavyo, kinavyovunjwavunjwa kikatili, hata hakipatikani katika vipande vyake kigae kitoshacho kutwaa moto jikoni, au kuteka maji kisimani.
Yeremia 19:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ndipo hapo utalivunja gudulia lile, mbele ya macho ya watu wale waendao pamoja nawe, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha wewe utalivunja gudulia hilo mbele ya watu hao watakaokwenda pamoja nawe, Biblia Habari Njema - BHND Kisha wewe utalivunja gudulia hilo mbele ya watu hao watakaokwenda pamoja nawe, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha wewe utalivunja gudulia hilo mbele ya watu hao watakaokwenda pamoja nawe, Neno: Bibilia Takatifu “Kisha livunje lile gudulia wale walio pamoja nawe wakiwa wanaangalia, Neno: Maandiko Matakatifu “Kisha livunje lile gudulia wale walio pamoja nawe wakiwa wanaangalia, BIBLIA KISWAHILI Ndipo hapo utalivunja gudulia lile, mbele ya macho ya watu wale waendao pamoja nawe, |
Naye atapavunja kama chombo cha mfinyanzi kivunjwavyo, kinavyovunjwavunjwa kikatili, hata hakipatikani katika vipande vyake kigae kitoshacho kutwaa moto jikoni, au kuteka maji kisimani.
BWANA akasema hivi, Nenda ukanunue gudulia la mfinyanzi, ukachukue pamoja nawe baadhi ya wazee wa watu, na baadhi ya wazee wa makuhani;
Basi, tazama, siku zinakuja, asema BWANA, ambazo nitatuma kwake wamiminao, nao watammimina, nao watamwaga vyote vilivyomo vyomboni mwake, na kuzivunja chupa zake vipande vipande.
Juu ya madari yote ya nyumba za Moabu, na katika njia kuu zake, pana maombolezo, kila mahali; kwa maana nimevunja Moabu kama chombo kisichopendeza, asema BWANA.
mwanamke mwenye kibweta cha marhamu ya thamani kubwa alimkaribia akaimimina kichwani pake alipoketi chakulani.