Na chombo kile, alichokuwa akikifinyanga, kilipoharibika mkononi mwake yule mfinyanzi, alikitengeneza tena kuwa chombo kingine, kama alivyoona vema yule mfinyanzi kukifanya.
Yeremia 18:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Ndipo neno la BWANA likanijia, kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha, neno la Mwenyezi-Mungu likanijia: Biblia Habari Njema - BHND Kisha, neno la Mwenyezi-Mungu likanijia: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha, neno la Mwenyezi-Mungu likanijia: Neno: Bibilia Takatifu Kisha neno la Mwenyezi Mungu likanijia kusema: Neno: Maandiko Matakatifu Kisha neno la bwana likanijia kusema: BIBLIA KISWAHILI Ndipo neno la BWANA likanijia, kusema, |
Na chombo kile, alichokuwa akikifinyanga, kilipoharibika mkononi mwake yule mfinyanzi, alikitengeneza tena kuwa chombo kingine, kama alivyoona vema yule mfinyanzi kukifanya.
Ee nyumba ya Israeli, je! Siwezi mimi kuwatendea ninyi vile vile kama mfinyanzi huyu alivyotenda? Asema BWANA. Angalieni, kama udongo ulivyo katika mkono wa mfinyanzi, ndivyo mlivyo ninyi katika mkono wangu, Ee nyumba ya Israeli.