Yeremia 16:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Wala usiingie ndani katika nyumba yenye karamu, kuketi pamoja nao, na kula na kunywa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Usiingie katika nyumba wanamofanya karamu. Usiketi kula na kunywa pamoja nao. Biblia Habari Njema - BHND “Usiingie katika nyumba wanamofanya karamu. Usiketi kula na kunywa pamoja nao. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Usiingie katika nyumba wanamofanya karamu. Usiketi kula na kunywa pamoja nao. Neno: Bibilia Takatifu “Usiingie katika nyumba ambayo kuna karamu, na kuketi humo ili kula na kunywa. Neno: Maandiko Matakatifu “Usiingie katika nyumba ambayo kuna karamu, na kuketi humo ili kula na kunywa. BIBLIA KISWAHILI Wala usiingie ndani katika nyumba yenye karamu, kuketi pamoja nao, na kula na kunywa. |
Sikuketi katika mkutano wao wanaojifurahisha, wala sikufurahi, niliketi peke yangu kwa sababu ya mkono wako; kwa maana umenijaza ghadhabu.
Kwa kuwa kama vile siku zile zilizokuwa kabla ya Gharika watu walivyokuwa wakila, na kunywa, wakioa na kuolewa, hadi siku ile aliyoingia Nuhu katika safina,
Lakini, mambo yalivyo, niliwaandikia kwamba msichangamane na mtu aitwaye ndugu, akiwa ni mzinzi au mwenye kutamani au mwenye kuabudu sanamu au mtukanaji au mlevi au mnyang'anyi; mtu wa namna hii msikubali hata kula naye.