ambaye neno la BWANA lilimjia katika siku za Yosia, mwana wa Amoni, mfalme wa Yuda, katika mwaka wa kumi na tatu wa kutawala kwake.
Yeremia 16:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Tena neno la BWANA likanijia, kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia na kusema: Biblia Habari Njema - BHND Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia na kusema: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia na kusema: Neno: Bibilia Takatifu Kisha neno la Mwenyezi Mungu likanijia: Neno: Maandiko Matakatifu Kisha neno la bwana likanijia: BIBLIA KISWAHILI Tena neno la BWANA likanijia, kusema, |
ambaye neno la BWANA lilimjia katika siku za Yosia, mwana wa Amoni, mfalme wa Yuda, katika mwaka wa kumi na tatu wa kutawala kwake.
Nami nitakuokoa kutoka kwa mkono wa watu wabaya, nami nitakukomboa kutoka kwa mkono wao wenye kutisha.