Yeremia 15:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Je! Mtu aweza kuvunja chuma, naam, chuma kitokacho kaskazini, au shaba? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Je, mtu aweza kuvunja chuma, chuma kitokacho kaskazini, au shaba? Biblia Habari Njema - BHND Je, mtu aweza kuvunja chuma, chuma kitokacho kaskazini, au shaba? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Je, mtu aweza kuvunja chuma, chuma kitokacho kaskazini, au shaba? Neno: Bibilia Takatifu “Je, mtu aweza kuvunja chuma, chuma kinachotoka kaskazini, au avunje shaba? Neno: Maandiko Matakatifu “Je, mtu aweza kuvunja chuma, chuma kitokacho kaskazini, au shaba? BIBLIA KISWAHILI Je! Mtu aweza kuvunja chuma, naam, chuma kitokacho kaskazini, au shaba? |
Ole wake ashindanaye na Muumba wake! Kigae kimoja katika vigae vya dunia! Je! Udongo umwambie yeye aufinyangaye; Unatengeneza nini? Au chombo ulichotengeneza hakina mikono?
Maana BWANA wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, Nimetia nira ya chuma juu ya shingo ya mataifa haya yote, ili wamtumikie Nebukadneza, mfalme wa Babeli nao watamtumikia; nami nimempa wanyama wa nchi pia.
Kisha mpaka wenu wa upande wa kaskazini utakuwa ni huu; kutoka bahari kubwa mtajiandikia mlima wa Hori;