nami nitaliharibu; wala halitapogolewa wala kulimwa, bali litamea mbigili na miiba; nami nitayaamuru mawingu yasinyeshe mvua juu yake.
Yeremia 14:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Neno la BWANA lililomjia Yeremia, kuhusu ukosefu wa mvua. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia kuhusu ule ukame: Biblia Habari Njema - BHND Neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia kuhusu ule ukame: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yeremia kuhusu ule ukame: Neno: Bibilia Takatifu Hili ndilo neno la Mwenyezi Mungu kwa Yeremia kuhusu ukame: Neno: Maandiko Matakatifu Hili ndilo neno la bwana kwa Yeremia kuhusu ukame: BIBLIA KISWAHILI Neno la BWANA lililomjia Yeremia, kuhusu ukosefu wa mvua. |
nami nitaliharibu; wala halitapogolewa wala kulimwa, bali litamea mbigili na miiba; nami nitayaamuru mawingu yasinyeshe mvua juu yake.
Maana atakuwa kama mti uliopandwa kando ya maji, Uenezao mizizi yake karibu na mto; Hautaona hofu wakati wa joto ujapo, Bali jani lake litakuwa bichi; Wala hautahangaika mwaka wa uchache wa mvua, Wala hautaacha kuzaa matunda.
Kwa sababu hiyo manyunyu yamezuiliwa, wala hapakuwa na mvua ya vuli; hata hivyo ulikuwa na kipaji cha uso cha kahaba, ulikataa kutahayarika.