Yeremia 13:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Basi nikaenda, nikakificha karibu na mto Frati, kama BWANA alivyoniamuru. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, nikaenda na kukificha kikoi hicho karibu na mto Eufrate, kama Mwenyezi-Mungu alivyoniamuru. Biblia Habari Njema - BHND Basi, nikaenda na kukificha kikoi hicho karibu na mto Eufrate, kama Mwenyezi-Mungu alivyoniamuru. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, nikaenda na kukificha kikoi hicho karibu na mto Eufrate, kama Mwenyezi-Mungu alivyoniamuru. Neno: Bibilia Takatifu Ndipo nikaenda na kuuficha ule mkanda huko Frati, kama Mwenyezi Mungu alivyoniamuru. Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo nikaenda na kuuficha ule mkanda huko Frati, kama bwana alivyoniamuru. BIBLIA KISWAHILI Basi nikaenda, nikakificha karibu na mto Frati, kama BWANA alivyoniamuru. |
Hata ikawa, baada ya siku nyingi, BWANA akaniambia, Ondoka, nenda mpaka mto Frati, ukakitwae kile kitambaa, nilichokuamuru kukificha huko.
Basi nikatoa unabii kama nilivyoamriwa; hata nilipokuwa nikitoa unabii, palikuwa na mshindo mkuu; na tazama, tetemeko la nchi, na ile mifupa ikasogeleana, mfupa kwa mfupa mwenziwe.
Kwa imani Abrahamu alipoitwa aliitika, atoke aende mahali pale atakapopapata kuwa urithi; akatoka asijue aendako.