Naye akajibu, Si mimi niliyewataabisha Israeli; bali ni wewe, na nyumba ya baba yako, kwa kuwa mmeziacha amri za BWANA; nawe umewafuata mabaali.
Yakobo 5:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Akaomba tena, mbingu zikatoa mvua, nayo nchi ikazaa matunda yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha akaomba tena, mvua ikanyesha kutoka angani na nchi ikatoa mazao yake. Biblia Habari Njema - BHND Kisha akaomba tena, mvua ikanyesha kutoka angani na nchi ikatoa mazao yake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha akaomba tena, mvua ikanyesha kutoka angani na nchi ikatoa mazao yake. Neno: Bibilia Takatifu Kisha akaomba tena, nazo mbingu zikatoa mvua, nayo ardhi ikatoa mazao yake. Neno: Maandiko Matakatifu Kisha akaomba tena, nazo mbingu zikatoa mvua nayo ardhi ikatoa mazao yake. BIBLIA KISWAHILI Akaomba tena, mbingu zikatoa mvua, nayo nchi ikazaa matunda yake. |
Naye akajibu, Si mimi niliyewataabisha Israeli; bali ni wewe, na nyumba ya baba yako, kwa kuwa mmeziacha amri za BWANA; nawe umewafuata mabaali.
Je! Katika vitu vya ubatili vya mataifa, kiko kitu kiwezacho kuleta mvua? Je! Mbingu zaweza kutoa manyunyu? Je! Si wewe, Ee BWANA, Mungu wetu? Kwa sababu hiyo tutakungoja; kwa kuwa wewe umevifanya vitu hivi vyote.
Lakini hakujiacha pasipo ushuhuda, kwa kuwa alitenda mema, akiwapeni mvua kutoka mbinguni, na nyakati za mavuno, akiwashibisha mioyo yenu chakula na furaha.