Wimbo Ulio Bora 7:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Njoo, mpendwa wangu, twende mashambani, Tufanye maskani katika vijiji. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Njoo ewe mpenzi wangu, twende mashambani, twende zetu tukalale huko vijijini. Biblia Habari Njema - BHND Njoo ewe mpenzi wangu, twende mashambani, twende zetu tukalale huko vijijini. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Njoo ewe mpenzi wangu, twende mashambani, twende zetu tukalale huko vijijini. Neno: Bibilia Takatifu Njoo, mpenzi wangu, twende mashambani, twende tukalale huko vijijini. Neno: Maandiko Matakatifu Njoo, mpenzi wangu, twende mashambani, twende tukalale huko vijijini. BIBLIA KISWAHILI Njoo, mpendwa wangu, twende mashambani, Tufanye maskani katika vijiji. |
Nivute nyuma yako, na tukimbie; Mfalme ameniingiza vyumbani mwake. Tutafurahi na kukushangilia; Tutalinena pendo lako kuliko divai; Ndiyo, ina haki wakupende.
Bibi arusi, njoo pamoja nami toka Lebanoni, Pamoja nami toka Lebanoni. Shuka kutoka kilele cha Amana, Kutoka vilele vya Seniri na Hermoni; Kutoka mapangoni mwa simba, Kutoka milimani mwa chui.
Twende mapema hadi mashamba ya mizabibu, Tuone kama mzabibu umechanua, Na maua yake yamefunuka; Kama mikomamanga imetoa maua; Huko nitakupa upendo wangu.