Ni ayala apendaye na paa apendezaye; Matiti yake yakutoshe sikuzote; Na kwa upendo wake ushangilie daima.
Wimbo Ulio Bora 4:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Matiti yako mawili ni kama wanapaa wawili, Nyuma ya barakoa yako. Ambao ni mapacha ya paa; Wakilisha penye nyinyoro. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Matiti yako ni kama paa mapacha, ambao huchungwa penye yungiyungi. Biblia Habari Njema - BHND Matiti yako ni kama paa mapacha, ambao huchungwa penye yungiyungi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Matiti yako ni kama paa mapacha, ambao huchungwa penye yungiyungi. Neno: Bibilia Takatifu Matiti yako mawili ni kama wana-paa wawili, kama wana-paa mapacha wajilishao kati ya yungiyungi. Neno: Maandiko Matakatifu Matiti yako mawili ni kama wana-paa wawili, kama wana-paa mapacha wajilishao katikati ya yungiyungi. BIBLIA KISWAHILI Matiti yako mawili ni kama wanapaa wawili, Nyuma ya barakoa yako. Ambao ni mapacha ya paa; Wakilisha penye nyinyoro. |
Ni ayala apendaye na paa apendezaye; Matiti yake yakutoshe sikuzote; Na kwa upendo wake ushangilie daima.
Mpendwa wangu ameshukia bustani yake, Kwenye matuta ya rihani; Ili kulisha penye bustani, Ili kuchuma nyinyoro.
Shingo yako ni kama huo mnara wa pembe; Macho yako kama viziwa vya Heshboni, Karibu na mlango wa Beth-rabi; Pua yako ni kama mnara wa Lebanoni, Unaoelekea Dameski;
Laiti ungekuwa kama ndugu yangu, Aliyeyanyonya matiti ya mamangu! Kama ningekukuta huko nje, Ningekubusu, asinidharau mtu.
Mimi nilikuwa ukuta, Na matiti yangu kama minara; Ndipo nikawa machoni pake Kama mtu aliyeipata amani.
Kama watoto wachanga waliozaliwa sasa yatamanini maziwa ya akili yasiyoghoshiwa, ili kwa hayo mpate kuukulia wokovu;