Je! Sivyo ilivyo nyumba yangu mbele za BWANA? Kwa kuwa amefanya nami agano la milele; Ina taratibu katika yote, ni thabiti, Maana ni wokovu wangu wote, na shauku langu lote.
Wimbo Ulio Bora 3:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Mfalme Sulemani alijitengenezea machela Ya miti ya Lebanoni; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mfalme Solomoni alijitengenezea machela, kwa mbao nzuri kutoka Lebanoni. Biblia Habari Njema - BHND Mfalme Solomoni alijitengenezea machela, kwa mbao nzuri kutoka Lebanoni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mfalme Solomoni alijitengenezea machela, kwa mbao nzuri kutoka Lebanoni. Neno: Bibilia Takatifu Mfalme Sulemani alijitengenezea gari; alilitengeneza kwa mbao kutoka Lebanoni. Neno: Maandiko Matakatifu Mfalme Sulemani alijitengenezea gari; alilitengeneza kwa mbao kutoka Lebanoni. BIBLIA KISWAHILI Mfalme Sulemani alijitengenezea machela Ya miti ya Lebanoni; |
Je! Sivyo ilivyo nyumba yangu mbele za BWANA? Kwa kuwa amefanya nami agano la milele; Ina taratibu katika yote, ni thabiti, Maana ni wokovu wangu wote, na shauku langu lote.
Nguzo zake alizitengeneza za fedha, Na mgongo wake wa dhahabu, Kiti chake kimepambwa urujuani, Gari lake limenakishiwa njumu, Hiba ya binti za Yerusalemu.
Wote wameshika upanga, Wamehitimu kupigana; Kila mtu anao upanga wake pajani Kwa hofu ya kamsa za usiku.
Kisha nikaona malaika mwingine, akiruka katikati ya mbingu, akiwa na Injili ya milele, awahubirie hao wakaao juu ya nchi, na kila taifa na kabila na lugha na jamaa,