Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila kiumbe kitambaacho nchini.
Wimbo Ulio Bora 1:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC Tutakutengenezea mashada ya dhahabu, Yenye vifungo vya fedha. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini tutakufanyizia mikufu ya dhahabu, iliyopambwa barabara kwa fedha. Biblia Habari Njema - BHND Lakini tutakufanyizia mikufu ya dhahabu, iliyopambwa barabara kwa fedha. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini tutakufanyizia mikufu ya dhahabu, iliyopambwa barabara kwa fedha. Neno: Bibilia Takatifu Tutakufanyia vipuli vya dhahabu, vyenye kupambwa kwa fedha. Neno: Maandiko Matakatifu Tutakufanyia vipuli vya dhahabu, vyenye kupambwa kwa fedha. BIBLIA KISWAHILI Tutakutengenezea mashada ya dhahabu, Yenye vifungo vya fedha. |
Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila kiumbe kitambaacho nchini.
Kama akiwa tu ukuta, Tumjengee buruji za fedha; Na kama akiwa ni mlango, Tumhifadhi kwa mbao za mierezi.
Nikatia kishaufu puani mwako, na herini masikioni mwako, na taji zuri juu ya kichwa chako.
atakayeubadili mwili wetu wa unyonge, upate kufanana na mwili wake wa utukufu, kwa uweza ule ambao kwa huo aweza hata kuvitiisha vitu vyote viwe chini yake.